FORVAC on TV
FORVAC on YouTube
FORVAC on Blogs
VIJIJI 70 VYA NUFAIKA NA FORVAC
ZAIDI ya vijiji 69 vya mikoa ya Tanga, Mkangara, Dodoma, Lindi na Ruvuma vimenufaika kiuchumi, kijamii na mazingira kupitia Mradi wa Kuongeza Mnyororo wa Thamani kwenye Mazao ya Misitu (FORVAC).Soma zaidi
Dk. Wanga atoa somo matumizi bora ya misitu
FORVAC imewezesha wananchi wa vijiji kutambua thamani ya misitu baada ya kuunganishwa katika mnyororo wa thamani, kinyume cha hapo misitu asili ambayo ipo vijijini ingekuwa katika hali mbaya.Soma Zaidi
Wananchi wanufaika na mradi wa FORVAC
WANANCHI wanaoishi maeneo yenye mradi wa kuongeza mnyororo wa thamani ya mazao ya misitu wametakiwa kulinda na kutunza mazingira ikiwa ni pamoja na vitendeakazi vya mradi huo vilivyoachwa baada ya muda wa mradi kumalizika.Soma Zaidi
Reaping benefits from village forests
Finland has longstanding bilateral cooperation with Tanzania in the forest sector. The current cooperation is mainly in the management of both privately owned forest woodlots and community-owned natural forests. Together with the government of Tanzania, Finland is financing the Forestry and Value Chain Development Programme (FORVAC).Read more
MITIKI itakavyoinua uchumi wa wananchi wilayani Nyasa
PROGRAM ya kuendeleza mnyororo wa thamani wa mazao ya misitu (FORVAC) imetoa ruzuku ya miche ya mitiki 450,000 kwa wananchi mwambao mwa Ziwa Nyasa mkoani Ruvuma. Soma Zaidi
FORVAC kongani ya Ruvuma kupanda misaji 300 000 Nyasa
KATIKA kuhakikisha uhifadhi na utunzaji misitu unakuwa endelevu Program ya Mnyororo wa Thamani wa Mazao ya Misitu (FORVAC), kupitia Kongani ya Ruvuma unatarajia kupanda miti ya Misaji 300,000 katika Vijiji vya Liuli, Mkali A, Mkali B na Lipingo wilayani Nyasa mkoani Ruvuma. Soma Zaidi
DK. Ndumbaro ataka mnyororo wa thamani mazao ya misitu
WAZIRI wa Maliasili na Utalii Dk.Damas Ndumbaro amesema serikali inaendelea kuhamasisha miradi ya kuongeza mnyororo wa thamani wa mazao ya misitu kwa kuwa ina mchango mkubwa kwenye ukuaji wa pato la taifa. Soma Zaidi
FORVAC ilivyodhamiria kuongeza thamani ya mazao ya mistu Mbinga
Moja ya maeneo ambayo FORVAC inatekeleza miradi yake ni katika Kata ya Amanimakoro Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga ambapo FORVAC inawezesha mwananchi mmoja mmoja na vikundi kuongeza thamani mazao ya misitu. Soma Zaidi
Milioni 100 Kuongeza Mnyororo wa thamani vikundi 20 Mbinga
VIKUNDI na watu binafsi vipatavyo 20 kutoka katika vijiji saba vya wilayani Mbinga mkoani Ruvuma wamepatiwa vifaa vya kuongeza mnyororo wa thamani wa mazao ya misitu vyenye thamani ya shilingi milioni 100. Soma Zaidi
FORVAC wasisitiza teknolojia uvunaji mazao ya misitu
MSHAURI Mkuu wa Kiufundi wa Program ya Mnyororo wa Thamani wa Mazao ya Misitu (FORVAC), Juhan Harkonen amesema matumizi ya teknolojia katika uvunaji na uchakataji mazao ya misitu utachochea uendelevu wa misitu na ukuaji wa uchumi nchini. Soma Zaidi
FORVAC kutengenesa mamilionea 550 Liuli
SHUGHULI za upandaji miti kibiashara ambazo zinafadhiliwa na Program ya Mnyororo wa Thamani wa Mazao ya Misitu (FORVAC) katika vijiji vinne vya Liuli, Lipingo, Mkali A na Mkali B inatarajiwa kuzalisha mamilionea 599 wilayani Nyasa mkoani Ruvuma. Soma Zaidi
Nyasa yahitaji miche laki nne ya miti
Mratibu wa FORVAC Kongani ya Ruvuma, Marcel Mutunda akizungumza na waandishi wa habari katika Bustani ya Kipiki wilayani Namtumbo kuhusu mpango wao wa ugawaji miche kwa wanakijiji wa Liuli wilayani Nyasa. Soma Zaidi
MITI ya mitiki itakavyotengeneza mamilionea wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma
Programu ya kuendeleza mnyororo wa thamani wa mazao ya misitu (FORVAC) imetoa ruzuku ya miche ya mitiki zaidi ya 81,000 iliyopandwa katika hekta 72.1 kwa wakulima 80 mwambao mwa Ziwa Nyasa mkoani Ruvuma msimu wa mwaka 2019/2020. Soma Zaidi
Tumeamua waomba shilingi milioni 15 FORVAC
KIKUNDI cha Tumeamua kilichopo kijiji cha Ukata, Kata ya Ukata wilayani Mbinga mkoani Ruvuma kimeomba Program ya Mnyororo wa Thamani wa Mazao ya Misitu (FORVAC) kuwasaidia shilingi milioni 15 ili kukuza mtaji wa kikundi. Soma Zaidi
Juhani Harkonen: Tutunze misitu kama familia, mali zetu
WATANZANIA wameshauriwa kutunza rasilimali misitu kama wanavyotunza familia zao kwa kuwa ina faida nyingi kwa kizazi cha sasa na kijacho. Soma Zaidi
Mashine ya kisasa ya kuchakata mbao itakavyoongeza thamani ya mazao ya misitu Ruvuma
Kwa upande wake Mratibu wa FORVAC Mkoa wa Ruvuma Marcel Mtunda akizungumza mbele ya waandishi wa habari baada ya kuona utendaji wa mashine hiyo,amesema mashine hiyo ya kuchakata magogo ni ya kisasa na inaweza kutembea kwenda hata msituni kuchaka magogo. Soma Zaidi
FORVAC kununua Misaji (Teak) ya shilingi milioni 150
KATIKA kuhakikisha uhifadhi wa misitu na utunzaji wa mazingira unakuwa endelevu Program ya Mnyororo wa Thamani wa Mazao ya Misitu (FORVAC) inatarajia kugawa miti miche ya misaji 300,000 itakayogharimu shilingi milioni 150. Soma Zaidi
FORVAC yanunua mashine za kisasa kuokoa upotevu mazao ya misitu
KATIKA kuhakikisha mazao ya misitu yanaongezeka thamani Program ya Mnyororo wa Thamani wa Mazao wa Misitu (FORVAC) imenunua mashine za kisasa za kuchakata mazao ya misitu zinazogharimu zaidi ya shilingi milioni 200. Soma Zaidi
Investigative reporting on forest value chain crucial
FOREST stakeholders has underscored the need for investigative reporting in forest value chain in order to highlight the underlying challenges in the forest value chain as well as the best practice to address them. Read more
FORVAC yanunua mashine za kisasa kuokoa upotevu mazao ya misitu
KATIKA kuhakikisha mazao ya misitu yanaongezeka thamani Program ya Mnyororo wa Thamani wa Mazao wa Misitu (FORVAC) imenunua mashine za kisasa za kuchakata mazao ya misitu zinazogharimu zaidi ya shilingi milioni 200. Soma Zaidi
USMJ warejesha mfumo wa elimu enzi za Nyerere kijiji cha Sautimoja
Akitoa taarifa ya namna kijiji kinanufaika na USMJ mbele ya waandishi wa habari waliopo katika ziara ya siku saba iliyoratibiwa na Program ya Mnyororo wa Thamani wa Mazao ya Misitu (FORVAC), Mtendaji wa kijiji hicho Philemon Dastan amesema mafanikio ni mengi ila hili la elimu ni kubwa zaidi. Soma Zaidi
Shilingi milioni 270 za misitu zaleta mapinduzi Nandenje
KIJIJI cha Nandenje, Kata ya Mandarawe, Wilayani Raangwa mkoani Lindi, kimetumia zaidi ya shilingi milioni 279 zilizokusanywa kupitia dhana ya Usimamizi Shirikishi wa Misitu ya Jamii (USMJ), kutekeleza miradi ya kijamii na maendeleo. Soma Zaidi
FORVAC yawapa mbinu waandishi kuadika habari za uchunguzi za misitu zinazohusu misitu
PROGRAM ya Mnyororo wa Thamani wa Mazao ya Misitu (FORVAC) imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari zaidi ya 20 kutoka vyombo na mikoa mbalimbali kuhusu uandishi wa Habari za Kiuchunguzi za Kimisitu (IJF) kwenye sekta ya misitu ili kuchochea uhifadhi na maendeleo.