Andiko la Programu
Programu ya Maendeleo ya mnyororo wa thamani wa mazao ya misitu (FORVAC) ina lengo kuu la kuongeza faida za kiuchumi, kijamii na kimazingira kutoka katika misitu ya matajiwazi na misitu ya pwani.
Tokeo tarajiwa la programu ni '' Kuboresha mnyororo wa thamani wa sekta ya misitu itayopelekea kua na misitu endelevu na kuimarisha maisha ya jamii’’.