P.O. Box 1351, Kilimani Street, 40472, Dodoma.
+255 735 155 661
info@forvac.or.tz
Mwanzo
Kuhusu sisi
Taarifa ya awali
Malengo ya FORVAC
Muundo wa usimamizi
Timu yetu
Washirika
Kazi zetu
Tunafanya nini
Tunapofanya kazi
Machapisho
Taarifa za utawala na usimamizi
Taarifa za kiutendaji na machapisho
Mabango
Miongozo ya COVID – 19
Habari na matukio
Matukio na mafunzo
FORVAC katika vyombo vya habari
Nyumba ya Sanaa
Fursa
Wito wa andiko la mradi
Nafasi za kazi
Wasiliana nasi
Mwanzo
Kuhusu sisi
Taarifa ya awali
Malengo ya FORVAC
Muundo wa usimamizi
Timu yetu
Washirika
Kazi zetu
Tunafanya nini
Tunapofanya kazi
Machapisho
Taarifa za utawala na usimamizi
Taarifa za kiutendaji na machapisho
Mabango
Miongozo ya COVID – 19
Habari na matukio
Matukio na mafunzo
FORVAC katika vyombo vya habari
Nyumba ya Sanaa
Fursa
Wito wa andiko la mradi
Nafasi za kazi
Wasiliana nasi
✕
Taarifa za kiutendaji na machapisho
Uchambuzi wa Mfumo wa Masoko
Kutokuwepo kwa mazingira wezeshi kwa ajili usimamizi endelevu wa misitu na biashara ya mazao ya misitu inapelekea mazingira hatarishi kwa jamii zinatogemea misitu na umuhimu wake katika huduma za kimazingira.
Pakua
Tathmini ya mahitaji ya mafunzo na mpango kazi
Ili kusaidia kuelekeza juhudi za kujenga uwezo, Tathmini ya mahitaji ya mafunzo ya kina (TNA) na mpango wa hatua unaohusika ni sehemu muhimu ya shughuli za mwaka wa kwanza wa Programu kulingana na mpango wa kazi wa Programu.
Pakua
Muhtasari wa utayari wa Tanzania kwa utekelezaji wa mpango wa hatua za EU FLEGT
Madhumuni ya Mpango wa utekelezaji kazi ni kuboresha utawala na kupunguza ukataji miti holela kwa kuimarisha usimamizi wa misitu; kuboresha utawala na kuhamasisha biashara za mbao zinazovunwa kihalali.
Pakua
Utafiti wa msingi
Ili ufuatiliaji, tathmini, na ujifunzaji uwe mzuri, FORVAC iliona ni lazima kukusanya habari za msingi kutathmini maendeleo ya programu wakati wa utekelezaji na baada ya kukamilika.
Pakua
Mwongozo wa kiwango cha msingi wa Minyororo ya thamani ya misitu kwa lugha ya kiingereza
Mwongozo huu umetengenezwa kwa kushirikiana na FORCONSULT na SUA kusaidia minyororo ya thamani ya misitu na ukuzaji wa biashara wa vikundi vya msingi. Mwongozo huu unazingatia ufugaji nyuki, uzalishaji wa mianzi na useremala.
Pakua
Mwongozo wa kiwango cha msingi wa Minyororo ya thamani ya misitu kwa lugha ya kiswahili
Mwongozo huu umetengenezwa kwa kushirikiana na FORCONSULT na SUA kusaidia minyororo ya thamani ya misitu na ukuzaji wa biashara za vikundi. Mwongozo huu unazingatia ufugaji nyuki, uzalishaji wa mianzi na useremala.
Pakua
Mitaala mikuu ya mnyororo wa thamani wa misitu na masomo ya maendeleo ya biashara
FORVAC imesaidia chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine kuandaa programu mpya ya kumaliza masomo ya shahada ya uzamili juu ya maendeleo ya biashara ya misitu katika idara ya misitu, wanyama pori na utalii.
Pakua
Tathmini ya mahitaji na rasilimali katika misitu ya vijiji/jamii na maendeleo ya mnyororo wa thamani katika kongani ya Tanga
Mpingo conservation and development iniatiative (MCDI) ilifanya tathmini ya mahitaji na rasilimali katika misitu ya jamii na maendeleo ya mnyororo wa thamani katika wilaya za kiteto, kilindi na handeni katika kongani ya Tanga.
Pakua
Chombo cha usimamizi wa misitu ya jamii
FORVAC imewezesha utekelezaji wa pendekezo la kuanzishwa kwa chombo cha usimamizi wa misitu ya jamii nchini Tanzania. Maono ya pendekezo ni kuboresha ubora wa usimamizi wa misitu ya jamii, utawala wa misitu na kuboresha maisha ya jamii zilizo karibu na misitu.
Pakua
Ripoti ya baraza la semina ya wadau wa mwaka wa CBFM
FORVAC iliwezesha jukwaa la kila mwaka la usimamizi misitu ya jamii, mada ya mwaka 2020 ilikuwa michango ya usimamizi wa misitu ya jamii kwa vipaumbele vya maendeleo vya serikali.
Pakua
Uchambuzi wa Mfumo wa Soko wa Mazao ya Mianzi katika Mkoa wa Ruvuma - tasnifu ya shahada ya uzamili
FORVAC imesaidia wanafunzi wa kiwango cha shahada katika chuo cha kilimo cha Sokoine kutimiza shahada za uzamili ambazo mada zinahusiana na Programu ya FORVAC.
Pakua
Maendeleo ya mnyororo wa thamani wa asali katika Mkoa wa Ruvuma - tasnifu ya shahada ya uzamili
FORVAC imesaidia wanafunzi wa kiwango cha juu cha Chuo Kikuu kilimo cha Sokoine kutimiza tasnifu ya shahada ya uzamili ambazo mada zinahusiana na Programu ya FORVAC.
Pakua
Tathmini ya mnyororo wa thamani wa zao la uyoga katika Wilaya za Mbinga na Nyasa
Tathmini hii imekuwa njia ya kuchangia ukuzaji wa mnyororo wa thamani wa uyoga katika wilaya za Mbinga na Nyasa na namna ya kuboresha maisha katika eneo hilo.
Pakua