Tunapofanya Kazi

Tunapofanya kazi

Sehemu ambapo programu ya FORVAC inatekelezwa imegawanywa katika kongano tatu kama ifuatavyo

  • Kongano ya Tanga: wilaya za Handeni na Kilindi zilizopo Tanga, wilaya ya Mpwapwa iliyopo mkoa wa Dodoma na wilaya Kiteto iliyopo mkoa wa Manyara.
  • Kongano ya Lindi: wilaya za Liwale, Ruangwa na Nachingwea.
  • Kongano ya Ruvuma: wilaya za Namtumbo, Songea, Mbinga ,Nyasa na Tunduru
Programu hii pia inashughulikia ujengaji wa uwezo na maendeleo ya sera katika ngazi za mikoa na kitaifa.

Makao makuu ya FORVAC yapo mjini Dodoma. Ofisi za kongano zipo wilayani Kilindi (Kongano ya Tanga), Ruangwa (kongano ya Lindi) na Songea (kongano ya Ruvuma)

COVID-19 Guideline

The spreading of COVID-19 would be a huge challenge to an already
constrained health care system, so prevention is the key. We have collected safety measures and advice on how to reduce the risk of catching the virus and minimizing the risk of spreading it further during FORVAC supported activities.

Please, download our COVID-19 guideline from here if you are operating with us: