Karibu FORVAC

Mnyororo wa Thamani wa Mazao ya Misitu

Programu ya Mnyororo wa Thamani wa Mazao ya Misitu (FORVAC) huongeza faida za kiuchumi, kijamii na kimazingira kutoka kwenye misitu na bidhaa zitokanazo na misitu huku ikikabiliana na uharibifu wa misitu. Kwa kufanya kazi kwa karibu na wafanyabiashara wa ndani na jamii, FORVAC itaendeleza minyororo ya thamani ya mazao ya misitu na hivyo kukuza ukuaji wa uchumi wa ndani, wakati huo huo kukuza umiliki wa misitu.Pia, inasaida taasisi za Serikali katika kuendeleza mfumo wao wa kisheria na sera ili kuboresha utawala wa misitu na kukuza usimamizi endelevu wa rasilimali za misitu. Wanufaika wa programu hii wanakadiriwa kufikia watu 330,000 ambao ni watu binafsi, jamii, wafanyabiashara na kampuni binafsi katika mikoa ya Tanga, Lindi, Ruvuma na kwingineko.


Habari kwa Ufupi

    Machapisho