Malengo ya FORVAC

Kuongeza faida za kiuchumi, kijamii na kimazingira kutokana na usimamizi endelevu wa misitu kwa kuongeza thamani ya mazao ya misitu na kuimarisha maisha ya jamii kwa ujumla.