Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUPC), Upangaji wa matumizi ya Ardhi kwa pamoja na jamii ni hatua muhimu ya kutambua maeneo ya hifadhi ya misitu ya ardhi ya vijijini. NLUPC inawezesha upangaji wa mipango shirikishi ya matumizi ya ardhi katika vijiji vya programu.
Soma zaidi