• P.O. Box 1351, Kilimani Street, 40472, Dodoma.
  • +255 735 155 661
  • info@forvac.or.tz
forvac logoforvac logoWhatsApp Image 2023-05-15 at 13.21.56WhatsApp Image 2023-05-15 at 13.21.56
  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Taarifa ya awali
    • Malengo ya FORVAC
    • Muundo wa usimamizi
    • Timu yetu
    • Washirika
  • Kazi zetu
    • Tunafanya nini
    • Tunapofanya kazi
  • Machapisho
    • Taarifa za utawala na usimamizi
    • Taarifa za kiutendaji na machapisho
    • Mabango
    • Miongozo ya COVID – 19
  • Habari na matukio
    • Matukio na mafunzo
    • FORVAC katika vyombo vya habari
    • Nyumba ya Sanaa
  • Fursa
    • Wito wa andiko la mradi
    • Nafasi za kazi
  • Wasiliana nasi
  • Swahili
    • English
  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Taarifa ya awali
    • Malengo ya FORVAC
    • Muundo wa usimamizi
    • Timu yetu
    • Washirika
  • Kazi zetu
    • Tunafanya nini
    • Tunapofanya kazi
  • Machapisho
    • Taarifa za utawala na usimamizi
    • Taarifa za kiutendaji na machapisho
    • Mabango
    • Miongozo ya COVID – 19
  • Habari na matukio
    • Matukio na mafunzo
    • FORVAC katika vyombo vya habari
    • Nyumba ya Sanaa
  • Fursa
    • Wito wa andiko la mradi
    • Nafasi za kazi
  • Wasiliana nasi
  • Swahili
    • English
✕

Taarifa za Utawala na Usimamizi

Mpango wa Mawasiliano
Andiko la programu ya FORVAC linaelezea kuwa mawasiliano ni pamoja na kuratibu wadau wanaofanya kazi zenye mwelekeo wa kuboresho biashara katika misitu ya vijiji.
Pakua
Andiko la Programu
Programu ya Maendeleo ya mnyororo wa thamani wa mazao ya misitu (FORVAC) ina lengo kuu la kuongeza faida za kiuchumi, kijamii na kimazingira kutoka katika misitu ya matajiwazi na misitu ya pwani. Tokeo tarajiwa la programu ni '' Kuboresha mnyororo wa thamani wa sekta ya misitu itayopelekea kua na misitu endelevu na kuimarisha maisha ya jamii’’.
Pakua
Maadili ya FCG
Maadili ya FCG ni msingi wa shughuli zetu na mahusiano yetu kwa wateja wetu, washirika, na wadau wengine. Yanatumika pia kwa wafanyakazi wetu na kwa taratibu za Usimamizi wa timu.
Pakua
FORVAC - Taarifa ya nusu mwaka Julai – Desemba 2020
Taarifa hii ni utekelezaji wa shughuli zilizofanyika kwa nusu- mwaka kuanzia 1 Julai hadi 31 Desemba 2020.Inatoa taarifa ya utekelezaji na matokeo yaliyotarajiwa yaliyofafanuliwa katika Mfumo wa upimaji matokeo.
Pakua
FORVAC - Mpango kazi na bajeti ya mwaka
Taarifa hii inawasilisha mpango kazi na bajeti ya FORVAC kwa kipindi cha 1 Julai 2020 hadi Juni 2021. Inajumuisha matokeo muhimu na mapendekezo kutoka kwa hatua kadhaa ambazo zimefanyika kwa kipindi cha miaka miwili ya mwanzo ya utekelezaji wa FORVAC.
Pakua
FORVAC - Ripoti ya mwaka ya FORVAC 2019 - 2020
Taarifa hii inajumuisha shughuli zilitekelezwa kuanzia Julai 2019-Juni 2020.
Pakua
FORVAC – Taarifa ya nusu mwaka Julai – Desemba 2019
Taarifa hii ni utekelezaji wa shughuli zilizofanyika kwa nusu- mwaka kuanzia 1 Julai hadi 31 Desemba 2019.Inatoa maendeleo ya mafanikio na matokeo yaliyotarajiwa yaliyofafanuliwa katika Mfumo wa upimaji matokea
Pakua
Mpango kazi na bajeti ya mwaka
Taarifa hii inawasilisha mpango kazi na bajeti ya FORVAC kwa kipindi cha 1 Julai 2019 hadi 30 Juni 2020.Inajumuisha matokeo na maoni muhimu kutoka hatua kadhaa za kuunga mkono kazi zilizofanyika Mwaka 1.
Pakua
Ripoti ya mwaka ya FORVAC 2018 - 2019
Taarifa hii inajumuisha shughuli zilitekelezwa kuanzia Julai 2018-Juni 2019 iliyogawanywa katika vipindi viwili, kipindi cha kuanzia (Julai 2018 hadi Feb 2019) na kipindi cha mpito kuelekea utekelezaji kamili wa programu (Machi –Jun 2019).
Pakua

Forestry and Value Chains Development programme (FORVAC) strives to increase economic, social and environ-mental benefits from forests and woodlands whilst tackling deforestation

Contact us: +255 735 155 661
Write us: info@forvac.or.tz

Our Focus

FORVAC focuses on forest value chain development based on production of timber, charcoal and non-wood forest products (NWFP) in the project districts and areas allocated there to local communities (CBFM within Village Land Forest Reserves)

Navigate

Events and Training
Calls for Proposal
Technical Report
Partners
Gallery
Contact us
@2024 FORVAC | All Right Reserved | Powered by Pulsans Technology Limited
  • English
  • Swahili
  • English
  • Swahili