Muundo wa Usimamizi
FORVAC inafadhiliwa na Wizara ya Mambo ya nje ya Ufini (MFA Finland) na kutekelezwa chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii ya Tanzania. Zaidi, programu inafanya kazi kwa ushirikiano wa karibu na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR- TAMISEMI). Mfumo wa kitaasisi wa FORVAC ni kama unavyooneshwa hapo chini.